MashaAllah Sheikh wetu.Allah akuhifadh na huo ndio ushujaa.. Allah atujalie waislam tuwe kitu kimoja Kama ilivokuwa wakati wa Mtume wetu (s.a.w). Allah atujalie àamal Maakubul
Amna kiloxhofanyikan ni ushauri wa muhamad bachu aloutoa, ngoma imemalizw chini chini hio, ndo mana katakikan aje aombe radhi ili aonekane kama yy ndo amekosea, 7bu huyo ni mwenziwao
Masha Allah your we are all human shaikh much respect for you
Allah atakulipa mazuri sheikh ww unaimani mashaallah
Mashallah muungwana vitendo wewe ni shekh mzuri sana hakuna binaadam asokosea umefanya vizuri tupe darsa tunakupenda wataelewa ni waislamu wenzetu ishaallah kheri
Mabroukin! Tuwe Nasubrah kwa kila jambo.❤❤❤❤❤❤
Huyu muungwana sana sh izdn tumekusamehe tunakupenda mm machoz yananitoka kukuskia wamekufungia halafu umeemba radhi
MashaAllah Sheikh wetu.Allah akuhifadh na huo ndio ushujaa.. Allah atujalie waislam tuwe kitu kimoja Kama ilivokuwa wakati wa Mtume wetu (s.a.w). Allah atujalie àamal Maakubul
Allaahu akuhifadhi ktk Hali zote.Akhera na Dunia.
Shukran sheihk 🙏💚💚💚
Mwenyezimungu akupe kher
Sheikh wetu ,May Allah protect and Guide you
Ishaallah yataisha tuwe na subra
Mwenyenzimungu atakupa subra
Allah yu pamoja nawe
Amna kiloxhofanyikan ni ushauri wa muhamad bachu aloutoa, ngoma imemalizw chini chini hio, ndo mana katakikan aje aombe radhi ili aonekane kama yy ndo amekosea, 7bu huyo ni mwenziwao
Makosa ni kwa binadamu so hakuna shida
Picha ya mama hpo ni unafiki wa wanahabari
Umeongea Ukweli Japo Kila Nchi Na Shelia Zake
picha ya mama inausiana nini sasa apo